Ujumbe moja wenye sauti katika lugha ya kiswahili uliweza kusambazwa katika makundi mengi kwenye mtandao wa WhatsApp , hukj ukiwa na masemi yenye kuhakikisha kuwa, katika vyandaruwa vilivyo weza ku gawanywa Mashariki mwa Jamuhuri mwa kidemokratiya ya kongo mnamo wezi wa sita ulio pita ndivyo vili kuwa vyanzo ya kusambaha kwa marazi ya virus ya Covid-19.
Ivo, ujumbe huo, uli weza kuonekana wakati wa kampeni za ugawanyaji wa vyandaruwa katika mkowa wa kivu ya kaskazini.
Ivi jee, masemi hayo ni ili kuwa ya kweli ? Eleza Fact ili chunguza ujumbe juu yenu.